
Jina La Kitabu (Ukitafuta Maisha Usisahau Kuishi)
Mwandishi Wa Kitabu ( Mwajuma Muhasu)
COMING SOON.
Kitabu hiki kinatoa muongozo kamili wa kuishi na kufurahia maisha bila kujali udogo au ukubwa wa kipato
Pia kinafundisha namna ya kuishi kwa mapenzi na kusudi la Mungu katika Dunia ili kupata mafanikio
Vile vile kinazungumzia namna Bora zaidi ya kuishi maisha yaliyo kamili kwa sababu wote tupo Duniani kufurahia Dunia na sio kuteseka
Utajifunza mengi sana kwenye kitabu hiki na utafurahia maisha yako bila kujali mafanikio uliyo nayo kwa sasa wakati unatafuta mafanikio makubwa zaidi.