You Can Win If You Want

S01E05: Namna Rahisi Ya Kuepuka Maumivu Ya Maisha

Kufurahia kazi mbaya

Kuhusu Kipindi

Karibu Life With Muhasu Podcast na katika kipindi hiki, tutaongelea yote kuhusu matatizo ya kimaisha na njia rahisi unazoweza tumia kuyaepuka.

Share this article
Shareable URL
Prev Post

S01E04: Namna Ya Kupata Mafanikio Bila Kuchoka Sana

Next Post

S01E06: Jifunze Kusoma Alama Za Nyakati

Comments 18
  1. Somo makini kabisa kwa sisi tunao anza safari zetu kujitafuta. Nimependa hii site madini yako mengi. New fan hapa ☺️

  2. Hili somo ni zuri mno na linanigusa directly 🙏. Ila madam, je kama mtu hulalamiki na umekubali kwenda na hali yako ila bado mambo magumu mno inabidi nifanyeje, maana mambo mengine yanakatisha tamaa yaani 🤕

    1. Ohh Pole sana Junior unapaswa kukubali changamoto zako kwanza kisha kdg kdg unatafuta njia ya kuzitatua bila kuweka maumivu moyoni kwasababu kukubali changamoto na kuzipokea ni nusu ya tiba yako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Read next