Kuhusu Kipindi
Karibu Life With Muhasu Podcast; Jukwaa liloandaliwa maalumu kwa ajili ya kuweza kufundishana, kuelimishana, kushauriana na kupeana ujuzi kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo Uchumi, Biashara, Maisha na mengine mengi— yote haya ikiwa kwa njia ya sauti, na kwa lugha nyepesi ya Kiswahili. Karibu.