You Can Win If You Want

S01E04: Namna Ya Kupata Mafanikio Bila Kuchoka Sana

Kufurahia kazi mbaya
Kuhusu Kipindi

Karibu Life With Muhasu, kwenye somo hili tutajifunza ni namna gani unaweza kuendelea kupata mafanikio kwenye kile kitu unachokifanya (iwe ni biashara, uchumi au hata maisha kiujumla) bila kuchoka sana.

Share this article
Shareable URL
Prev Post

S01E03: Jiandae Kwa Maandalizi Kabla Hujapokea Mafanikio Makubwa(Video)

Next Post

S01E05: Namna Rahisi Ya Kuepuka Maumivu Ya Maisha

Comments 25
  1. Hapo kwenye kufanya kitu kwa mazoea ndo mtihani. Ninaanzisha biashara nyingi ila kuziendeleza inakua changamoto. Mambo za kufuata ratiba na ma routine shida sana

    1. Pole sana kwa changamoto hio na hauko peke yako, zingatia kupanga ratiba zako vema kisha zifuate taratibu usitumie nguvu kubwa na utazoea kidgo kidogo pia Anza na jambo moja moja kwanza

  2. Alie ulza hilo swali kafanya vizuri maana wengi tusingekutana na hii video. Bado nasikiliza ila nina swali; Je mtu akiwa anaoenda zaid ya ki2 kimoj na anapata wakat mgum kuchagua , afanyeje kiongozi?

  3. Moja kwa moj kutok Kainetics 🏃 mependa unavofundisha. Content za hivi ngumu kuzipata … Em nika subscribe kabisa 🙏🙏

  4. Hatimae hii imejibu swali lililokua linanisumbua. Sem hapo kwenye kufanya kidogo kidogo changamoto sana 😁😁

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Read next