Kuhusu Kipindi
Karibu Life With Muhasu Podcast na katika kipindi hiki, tutaongelea yote kuhusu matatizo ya kimaisha na njia rahisi unazoweza tumia kuyaepuka.
Karibu Life With Muhasu Podcast na katika kipindi hiki, tutaongelea yote kuhusu matatizo ya kimaisha na njia rahisi unazoweza tumia kuyaepuka.
Thank you
Karibu sana
Bookmarked 🙏🙏
Ahsante sana 🙏
Cynthia
Ohh Pole sana dear na utakuwa Sawa Hakika
🔥🔥🔥🔥
❤️🙏
Bookmarked. Itabidi niskilize vizuri after work
Hakika sikiliza ukiwa na wakati mzuri 🙏
Somo makini kabisa kwa sisi tunao anza safari zetu kujitafuta. Nimependa hii site madini yako mengi. New fan hapa ☺️
Ohh ahsante sana nimefurah Sanaa na karibu utajifunza mengi mazuri
Bookmarked ✍️
Thank you
Hili somo ni zuri mno na linanigusa directly 🙏. Ila madam, je kama mtu hulalamiki na umekubali kwenda na hali yako ila bado mambo magumu mno inabidi nifanyeje, maana mambo mengine yanakatisha tamaa yaani 🤕
Ohh Pole sana Junior unapaswa kukubali changamoto zako kwanza kisha kdg kdg unatafuta njia ya kuzitatua bila kuweka maumivu moyoni kwasababu kukubali changamoto na kuzipokea ni nusu ya tiba yako
Mambo mazuri sana haya
🙏