You Can Win If You Want

Usajili Wa Kampuni & Majina Ya Biashara2 Min Read

Tunakusaidia kusajili kampuni yako kwa urahisi, haraka, na kwa ufanisi.
Usajili wa Kampuni ni nini?
Usajili wa kampuni ni hatua muhimu kwa kila mfanyabiashara anayetaka kufanya kazi kwa uhalali. Inakupa ulinzi wa kisheria, inaimarisha uaminifu wa biashara yako, na inakusaidia kupata fursa nyingi zaidi za kiuchumi.
Faida za Kusajili Kampuni au Jina la Biashara
  • Inakupa utambulisho wa kisheria
  • Inafanya biashara yako ionekane kuwa rasmi
  • Inasaidia kupata mikopo na wawekezaji
  • Inakupa ulinzi wa jina la biashara yako
  • Inakusaidia kutengeneza sifa bora ya biashara
Huduma Unazopata Katika Usajili
  • Usajili wa kampuni ndogo, ya kati, na kubwa
  • Usajili wa majina ya biashara (Business Name Registration)
  • Kupata leseni na vibali vya biashara
  • Ushauri wa kisheria kuhusu usajili wa biashara
  • Usaidizi wa kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN)
  • Huduma za ufuatiliaji hadi upate cheti chako
  • Na mengine mengi…
Je, uko tayari kufanya kazi nasi?
Tutumie ujumbe kupitia barua pepe/email:
hello@lifewithmuhasu.com

Au tutumie ujumbe (WhatsApp):
+255 748 029 623

Wasiliana Nasi WhatsApp

    Huruhusiwi ku copy. Asante.